Wakazi Visiga walalamikia mikopo ya asilimia 10, halmashauri yataja changamoto ya urejeshaji

Baadhi ya wakazi wa Kata ya Visiga, Manispaa ya Kibaha mkoani Pwani, wamelalamikia upatikanaji wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri.