WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Maji kuhakikisha mradi wa Bwawa la Maji Kidunda hausimami na unakamilika kwa wakati ili uanze kutoa huduma ya maji kwa wananchi. Ametoa wito huo leo (Ijumaa, Januari 02, 2026) wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa bwawa hilo lililopo Wilaya ya Morogoro, mkoani Morogoro. Akizungumza baada ya ukaguzi […] The post Hakikisheni Mradi Wa Bwawa La Maji Kidunda Hausimami – Dkt Mwigulu appeared first on Global Publishers .