Serikali ya Gambia imethibitisha kisa cha kusikitisha ambapo Boti iliyokuwa imebeba Wahamiaji zaidi ya 200, imeripotiwa kupinduka usiku wa manane mnamo Desemba 31 karibu na Kijiji cha Jinack. Kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi ya Gambia, Jeshi la Wanamaji lilianzisha Operesheni ya mara moja ya utafutaji na uokoaji baada ya kupokea taarifa za kuzama kwa […] The post Boti Ya Wahamiaji Yapinduka Gambia — Wengi Waokolewa, Wengine Watafutwa appeared first on Global Publishers .