Baada ya miezi 10 akiwa gerezani nchini Sudan Kusini, dereva wa magari makubwa wa mizigo, Juma Ally Maganga (45), ameachiliwa huru na yupo njiani kurejea nyumbani Dodoma, Tanzania. Tukio hilo linahusiana na ajali iliyotokea Februari 14, 2025, ambapo Juma alipomgonga mwanajeshi mmoja nchini Sudan Kusini, na kusababisha kifo chake. Kulingana na mila na desturi za […] The post Baada ya Miezi 10 Gerezani Sudan Kusini, Dereva Juma Maganga Aachiwa Huru – Video appeared first on Global Publishers .