Charles Osore, mwenye umri wa miaka 52 kutoka kijiji cha Luoka, Kaunti Ndogo ya Ugunja, atalipwa fidia na serikali baada ya kumuua chatu aliyemshambulia na kumuua mbwa wake. Baada ya tukio hilo, Osore aliripoti kisa hicho Chanzo: @thestarkenya #PembeZaKenya #KituoChaWakenya