Shilole Apata Ajali Njiani Akitoka Kigoma Kurudi Dodoma

Msanii maarufu Shilole amepata ajali ya gari akiwa njiani kurudi Dodoma kutoka Kigoma, baada ya kushiriki shughuli ya kijamii ya Pilau Day iliyoratibiwa na Mbunge wa Kigoma Mjini, Babalevo. Mbunge Babalevo kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii amethibitisha tukio hilo. “Jana usiku dada yangu Shilole alipokuwa anatoka Kigoma kurudi Dodoma alipata ajali ya gari […] The post Shilole Apata Ajali Njiani Akitoka Kigoma Kurudi Dodoma appeared first on Global Publishers .