WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema serikali haitakwama kutekeleza miradi mikubwa kwa fedha za ndani kutokana na kasi nzuri ya ukusanyaji wa mapato. Ameyasema hayo wakati akikagua ujenzi wa Bwawa la Kidunda lililopo mkoani Morogoro wakati alipoanza ziara yake mkoani humo kukagua shughuli za maendeleo. Dk Mwigulu amesema wote wanaofikiri kuwa serikali itakwama katika kutekeleza … The post Mwigulu: Serikali haitakwama miradi mikubwa first appeared on HabariLeo .