Wachumi waeleza mbinu ‘kutoboa’ Januari

WATAALAMU wa uchumi wametoa ushauri wa namna ya kukabiliana na hali ngumu ya kifedha mwezi Januari ikiwamo kuweka akiba mapema na kujiepusha na madeni mapya. Pia, wameshauri kutumia kipato vizuri kwenye gharama za msingi wakati wa Januari ili kuepuka matumizi yasiyofaa. Akizungumza na gazeti la HabariLEO, mtaalamu wa masuala ya uchumi, Walter Nguma alisema ni … The post Wachumi waeleza mbinu ‘kutoboa’ Januari first appeared on HabariLeo .