Serikali kujenga kiwanda cha chakula cha samaki Mwanza

SERIKALI imesema kuwa itajenga Kiwanda cha Kutengeneza chakula cha samaki jijini Mwanza kwa lengo la kuwapunguzia gharama wafugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ili kuongeza uzalishaji wa samaki nchini. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ng’wasi Kamani amesema hayo hivi karibuni alipokuwa akizungumza na wanufaika wa mradi wa vizimba vya kufugia samaki eneo la … The post Serikali kujenga kiwanda cha chakula cha samaki Mwanza first appeared on HabariLeo .