Huku zikiwa zimesalia siku 13 kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Uganda kufanyika Januari 15, Rais Yoweri Museveni na mpinzani wake mkuu Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) wameingia kwenye vita vya maneno, kila upande ukimtuhumu mwenzake kupanga vurugu. Katika hotuba yake ya Mwaka Mpya, Museveni — aliye madarakani karibu miaka 40 — aliwatuhumu Bobi Wine na wafuasi […] The post Museveni na Bobi Wine Wapishana Kauli, Joto la Uchaguzi Uganda Laanza Kupanda appeared first on Global Publishers .