Dua zote kwa Stars kesho

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imetinga hatua ya 16 bora ya Mashindano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) na kuweka rekodi ya aina yake, tangu timu hiyo ianze kushiriki mashindano hayo. Taifa Stars ilishiriki kwa mara ya kwanza Afcon mwaka 1980, kisha ikashiriki tena mwaka 2019 na mwaka 2023, kabla ya kushiriki mashindano … The post Dua zote kwa Stars kesho first appeared on HabariLeo .