Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa Marekani imefanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya Venezuela na kufanikiwa kumkamata Rais wa nchi hiyo, Nicolás Maduro, pamoja na mke wake. Kupitia taarifa aliyotoa kwenye mtandao wake wa Truth Social, Trump amesema operesheni hiyo ilifanywa kwa kushirikiana na vyombo vya usalama vya Marekani, huku akieleza kuwa maelezo […] The post Marekani Yafanya Shambulio Kijeshi Venezuela na Kumkamata Rais Maduro appeared first on Global Publishers .