NAIBU Waziri wa Afya, Dk Florence Samizi, kwa niaba ya Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa, ametembelea na kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya basi na lori iliyotokea usiku wa Desemba 31, 2025 katika kijiji cha Maseyu, mkoani Morogoro. Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Dk Samizi amesema hadi Januari 2, majeruhi 5 wanaendelea kupatiwa matibabu … The post Dk Samizi awatembelea majeruhi ajali ya basi, lori Moro first appeared on HabariLeo .