Mlinda mlango shujaa wa Nigeria, Stanley Nwabali, amekumbwa na wingu zito la majonzi kufuatia kifo cha mama yake mzazi, aliyezikwa juzi yeye akiwepo, tukio ambalo limewasikitisha wapenzi wengi wa soka. Katika hali ya kuumiza, Nwabali amefunguka kuwa pigo hili limekuja kama muendelezo wa mfululizo wa misiba, kwani alimpoteza bibi yake na kufuatiwa na baba yake […] The post Mlinda Mlango wa Nigeria, Stanley Nwabali Afiwa na Mama appeared first on Global Publishers .