Trump amesema operesheni hiyo ilifanywa kwa ushirikiano na vyombo vya sheria vya Marekani na kuthibitisha kuwa ni "shambulio la kijeshi lililofanikiwa kikamilifu."