AFCON: Diarra Aang’ara, Mali Yaipiga Tunisia kwa Matuta 3–2 Yatinga Robo Fainali

Kipa Djigui Diarra na wenzake wa Timu ya Taifa ya Mali wametinga robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) baada ya kuibuka na ushindi wa penalti 3–2 dhidi ya Tunisia, kwenye Uwanja wa Mohammed V, Casablanca hatua ya 16 bora. Mchezo ulimalizika kwa sare ya 1–1 ndani ya dakika 120. Tunisia walitangulia […] The post AFCON: Diarra Aang’ara, Mali Yaipiga Tunisia kwa Matuta 3–2 Yatinga Robo Fainali appeared first on Global Publishers .