Rais William Ruto anapendekeza kurekebisha sheria za dawa za kulevya ili kuweka adhabu ya kifo kwa wafanyabiashara wa dawa ngumu, akisema biashara hiyo inaharibu vijana na mustakabali wa taifa.
#HabariZaJambo #KituoChaWakenya