DAR ES SALAAM: Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limepongezwa kwa kuimarisha amani, umoja na mshikamano nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusianao, Deus Sangu wakati wa ziara yake ya kikazi katika Makao Makuu ya Baraza hilo Januari 03, 2025 jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo … The post Bakwata yapongeza kuimarisha umoja, amani first appeared on HabariLeo .