Wanaharakati Uganda washitushwa na ukamataji kuelekea uchaguzi
Kukamatwa na kisha kuwekwa rumande kwa Sarah Bireete, mtetezi mashuhuri wa haki za binadamu na mtaalamu wa masuala ya utawala, kumesababisha mshtuko mkubwa ndani ya jumuiya ya kiraia nchini Uganda.