PEMBA; Rais mstaafu wa Tanzania, Dk Jakaya Kikwete, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la ofisi ya Uhamiaji na makazi ya askari lililopo wilayani Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene,wa tatu kulia ni Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais(SMZ),Hamza Hassan Juma … The post JK azindua jengo la Uhamiaji, makazi ya askari Pemba first appeared on HabariLeo .