Wapiga kura 20,851 waliomo kwenye Daftari la Kudumu la Mpigakura wanatarajiwa kushiriki uchaguzi wa madiwani katika Kata ya Kirua Vunjo Magharibi, Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro na Kata ya Mindu, Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro mkoani Morogoro.