Morogoro, Manyara, Zanzibar waanika fursa maeneo ya uwekezaji
Mikoa ya Morogoro, Manyara na Zanzibar imebainisha fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo katika maeneo yao na kuwahimiza wawekezaji kuwekeza katika sekta za kilimo, ufugaji, viwanda na uchumi wa buluu.