Taifa Stars yakwamia 16 bora AFCON

MOROCCO; TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeshindwa kuingia robo fainali ya michuano ya Mataifa ya Afrika baada ya kufungwa bao 1-0 na wenyeji Morocco katika mchezo wa hatua ya 16 bora usiku huu wa Janauri 04, 2026. Hata hivyo wachezaji wa Taifa Stars walimlalamikia kwa kiasi kikubwa mwamuzi Boubou Traoré, wakionekana kupinga kwa … The post Taifa Stars yakwamia 16 bora AFCON first appeared on HabariLeo .