Madarasa ya mitihani yalivyo mzigo kwa wazazi

Kila saa 11:30 alfajiri, Nicodemas Massawe huwa tayari barabarani. Si kwa sababu ya kazi, bali ni safari ya kuwapeleka watoto wake shuleni ili wafike kwa wakati.