Shukrani za kipekee zimuendee Mungu kwa kutuwezesha kuiona salama siku ya leo, ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko vizuri na unaendelea kulisongesha mbele gurudumu la maendeleo, leo utakuwa nami Baby Madaha. Wataalamu wengi wa masuala ya mapenzi, wamekuwa wakisisitiza juu ya umuhimu wa kumtoa ‘out’ umpendaye katika kuboresha upendo kati yenu. Hata hivyo, ni […] The post Mambo ya Kuzingatia Kabla Hujaamua Kumtoa ‘out’ Umpendaye appeared first on Global Publishers .