Singida haina pingamizi Gamondi kupewa Stars

DAR ES SALAAM: Klabu ya Singida Black Stars imesema haina pingamizi lolote kwa mamlaka husika endapo Miguel Gamondi atateuliwa kuwa kocha wa kudumu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, nafasi ambayo kwa sasa anaihudumia kwa muda. Katika mabadiliko ya kiutendaji yaliyotangazwa leo Jumatatu, Januari 5, 2025 na Bodi ya Wakurugenzi wa klabu hiyo, … The post Singida haina pingamizi Gamondi kupewa Stars first appeared on HabariLeo .