HIFADHI ya Taifa ya Arusha imetajwa na Kituo cha Televisheni cha CNN kama moja ya maeneo bora ya kusafiri kwa mwaka 2026 pamoja na mkoa mzima wa Arusha. Ripoti iliyochapishwa Desemba 31, 2025 kwenye CNN Travel inaangazia Arusha kwa maendeleo yake ya kitamaduni, urembo wa asili na uzoefu wa kipekee wa safari na kuweka juu kwenye rada ya kimataifa ya kusafiri kwa mwaka wa 2026. The post Arusha yatajwa eneo bora la Utalii 2026 first appeared on HabariLeo .