Man United Yamtimua Kocha Ruben Amorim, Fletcher Kushika mikoba kwa muda

Klabu ya Manchester United imemfuta kazi Meneja Ruben Amorim kama kocha mkuu klabuni hapo kufuatia msururu wa matokeo yasiyoridhisha ikiwa ni miezi 14 tangu achukue mikoba ya kuinoa klabu hiyo Taarifa rasmi iliyotolewa na Mashetani hao Wekundu muda mfupi uliopita imeeleza kuwa iungo wa zamani wa klabu hiyo, Darren Fletcher ambaye alikuwa mkurugenzi wa ufundi […] The post Man United Yamtimua Kocha Ruben Amorim, Fletcher Kushika mikoba kwa muda appeared first on Global Publishers .