SERIKALI YAAINISHA ORODHA YA BIDHAA NA HUDUMA MIGODINI AMBAZO HAZIPASWI KUFANYWA NA WAGENI

Serikali kupitia Wizara ya Madini imetangaza rasmi orodha ya Huduma na Bidhaa 20 zinazopaswa kutolewa Migodini kupitia kampuni zinazomilikiwa na watanzania kwa asilimia 100 ikilenga kuongeza wigo wa ushiriki wa Watanzania katika Sekta ya Madini ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Mh. Rais Dkt. Samia S. Hassan kuhakikisha watanzania wanashiriki kikamilifu kwenye mnyororo mzimawa sekta […] The post SERIKALI YAAINISHA ORODHA YA BIDHAA NA HUDUMA MIGODINI AMBAZO HAZIPASWI KUFANYWA NA WAGENI appeared first on Jambo TV Online .