Wawekezaji DSE waongeza utajiri mwaka 2025 benki zikiongoza

Wawekezaji katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wameongeza utajiri wao kwa Sh6.12 trilioni mwaka 2025, baada ya mtaji kuongezeka kwa asilimia 34, kutoka Sh17.8trilioni Desemba 2024 hadi Sh23 trilioni Desemba 2025.