Atafutwa kwa tuhuma za kumuua mkewe

Helakumi Kacheri mkazi wa kitongoji cha Tindegela Kata ya Singisa Wilaya ya Morogoro anatafutwa na Jeshi la Polisi Morogoro kwa tuhuma za mauaji ya mke wake kwa kutumia kitu chenye ncha kali. Kwa mujjibu wa Kamanda wa polisi mkoani hapa SACP Alex Mkama tukio hilo limetokea Januari 4 majira ya mchana wakati wawili hao wakiwa …