Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa tuzo tatu kubwa za kimataifa ambazo Tanzania imeshinda kupitia sekta ya utalii. Rais Samia alipokea tuzo hizo wakati akizungumza na viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii katika kikao kilichofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 5 Januari 2026. Tuzo hizo zimetolewa na […] The post Rais Samia Akabidhiwa Tuzo Tatu za Utalii Kimataifa – Picha appeared first on Global Publishers .