Mshirika wa Samsung Tanzania, Mars Communication Limited, imezindua rasmi jukwaa lake jipya la mauzo mtandaoni, hatua muhimu inayowarahisisha wateja kote nchini kupata bidhaa halali za Samsung. Kampeni hii itadumu mwezi mzima kuanzia tarehe 5 Januari 2026, na italenga kuelezea kwa wateja kuwa jukwaa hilo, ndiyo duka rasmi la mtandaoni la Samsung Tanzania, ambalo wateja wanaweza kulitegemea. Uzinduzi huu utawawezesha wateja kupata taarifa za bidhaa halali za Samsung, ofa maalum, na matangazo yanayolengwa kwa soko la Tanzania. Hii ni sehemu ya juhudi za Samsung kuendelea kuleta ubunifu, urahisi, na huduma bora, huku ikijibu ongezeko la ununuzi wa bidhaa mtandaoni katika maisha […] The post Uzinduzi Rasmi wa Jukwaa Jipya la Mauzo Mtandaoni la ‘samsungstore.tz’ appeared first on SwahiliTimes .