Dk Mwigulu: Serikali inalenga elimu ya ujuzi inayozalisha ajira

Serikali imesema itaendelea kuwekeza katika elimu inayojenga umahiri, ujuzi na maadili kwa lengo la kukabiliana na maisha pamoja na soko la ajira.