Mke wa meneje wa WCB Mkubwa Fella, Sweet Fella ameshangazwa na ukimya wa wasanii na wadau wengine wakati ambao meneja wa Mkubwa na Wanae Said Fella ambaye anaugua kwa mwaka wa pili sasa. Amesema Diamond ndiye ambaye alimpeleka India kwaajili ya matibabu. “Chege tunamshukuru, Mbosso ndio msaada mkubwa kwetu kwa sasa. Tukitaka kumpeleka hospitali …