Mapema leo mkali wa video kali za mastaa @hanscana_ amezungumza na Bongo5 kubwa zaidi ni kuhusu mwaka mpya 2026 kwamba kwa upande wake mungu anasaidia Hanscana anasema rasmi ameacha mambo ya kushoot na hataki kabisa rasmi amekuwa mkamaria na inamlipa kuliko kushoot Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongofive Imeandaliwa na @abbrah255 Shot @el_mando_tz