Kikwete Asema Urais ni Mpango wa Mungu, Afafanua Nafasi ya Kiongozi

Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, amesema suala la kuwa kiongozi hususan urais ni mipango ya Mungu. Kikwete amesema tume iliyoundwa na Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin Mkapa na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Karume mwaka 2001 ambayo alikuwepo yeye, Samia Suluhu Hassan (Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sasa), Dkt. Ali […] The post Kikwete Asema Urais ni Mpango wa Mungu, Afafanua Nafasi ya Kiongozi appeared first on Global Publishers .