Maduro Afikishwa Mahakama baada ya Kukamatwa na Marekani

Rais wa zamani wa Venezuela aliyeondolewa madarakani, Nicolás Maduro, amefikishwa katika Mahakama ya Shirikisho ya Manhattan leo Januari 5, 2026 kujibu mashtaka yanayomkabili. Maduro anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi unaohusishwa na biashara ya dawa za kulevya (narco-terrorism), siku chache baada ya kukamatwa kwake na jeshi la Marekani tukio lililozua sintofahamu kubwa kuhusu mustakabali wa taifa […] The post Maduro Afikishwa Mahakama baada ya Kukamatwa na Marekani appeared first on Global Publishers .