Naibu Waziri aridhishwa na mradi wa Kituo cha Umahiri Kikuletwa

Naibu Waziri huyo ameongeza kuwa ushirikiano uliopo kati ya chuo hicho na viwanda pamoja na taasisi za elimu, sayansi na teknolojia ndani na nje ya nchi utasaidia watumishi na wanafunzi kufanya tafiti zenye kutatua changamoto katika jamii.