Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kuanza uchunguzi wa kina kufuatia kusambaa kwa picha mjongeo inayomwonesha raia wa kigeni mwenye asili ya China akiwa na mifuko ya sandarusi iliyojaa fedha taslimu, zikiwemo fedha za ndani na za kigeni, tukio lililozua mjadala mkubwa katika mitandao ya kijamii. Akizungumza na gazeti la Msemaji wa Jeshi la Polisi, David […] The post Polisi waanza uchunguzi wa picha ya raia wa kigeni na mifuko ya fedha appeared first on Global Publishers .