Upatanishi ni jukumu la wote kukuza umoja wa kitaifa

KATIKA dunia ya leo ambako utawala bora unaendelea kuimarika, uchaguzi mkuu katika mfumo wa siasa wa vyama vingi ni msingi wa maisha ya kidemokrasia. Mazingira hayo ya uchaguzi ndiyo huwezesha raia kuchagua viongozi, kujadili hoja na kuweka mwelekeo wa hatima ya taifa. Hata hivyo, kama historia inavyoonesha, uchaguzi unaofanyika katika mazingira hayo hasa ya ushindani … The post Upatanishi ni jukumu la wote kukuza umoja wa kitaifa first appeared on HabariLeo .