VYOMBO VYA ULINZI VYATAKIWA KUSIMAMIA AMANI NA KULINDA MASLAHI YA WANANCHI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Denis Londo, ametaka vyombo vya ulinzi na usalama nchini kuendelea kusimamia amani, usalama wa raia na mali zao, sambamba na kuimarisha mahusiano kati yao, Serikali na wananchi kwa nyakati zote wakati wa shida na raha ili kujenga imani na mshikamano wa kitaifa. Waziri Londo amesema hayo wakati […] The post VYOMBO VYA ULINZI VYATAKIWA KUSIMAMIA AMANI NA KULINDA MASLAHI YA WANANCHI appeared first on Jambo TV Online .