WACHINA WA ‘MABILIONI’ WAPELEKWA GEREZANI, KESI YAO HAINA DHAMANA

Raia wawili (2) wa China ambao ni Weisi Wang (41) na Yao Licong wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na kesi ya Uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha takribani Shilingi Bilioni Mbili na Milioni Kumi na Tatu za Kitanzania Washtakiwa hao wamesomewa makosa yao na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Patrick […] The post WACHINA WA ‘MABILIONI’ WAPELEKWA GEREZANI, KESI YAO HAINA DHAMANA appeared first on Jambo TV Online .