DAR ES SALAAM; Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema imebaini baadhi ya watu wasio na sifa wamerejea kutekeleza majukumu ya kihabari baada ya kukamilika kwa Uchaguzi Mkuu. Taarifa iliyotokewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa JAB, Patrick Kipangula leo Januari 7, 2026, imesisitiza kuwa uandishi wa habari ni taaluma rasmi inayosimamiwa kwa misingi … The post Bodi ya Ithibati yaonya waandishi wasio na sifa first appeared on HabariLeo .