NLD yatoa mwelekeo huu baada ya tathmini ya uchaguzi mkuu

Chama cha National League for Democracy (NLD), kimefanya kikao maalumu cha tathimini ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, kwa lengo la kutathmini mwenendo wa uchaguzi huo na somo kwa mustakhabali wa chama hicho mbeleni.