Kampeni tokomeza malaria kufanyika halmashauri ya Morogoro

MOROGORO: HALMASHAURI ya Wilaya ya Morogoro inatarajia kutoa vyandarua bila malipo kwa kila kaya ili kukabiliana na ugonjwa wa malaria. Hatua hiyo ni mwanzo wa kuhamasisha kampeni ya utokomezaji wa malaria. Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Dk Gosbert Kalunde amesema hayo wakati wa utoaji wa elimu juu ya uzinduzi wa kampeni ya afua … The post Kampeni tokomeza malaria kufanyika halmashauri ya Morogoro first appeared on HabariLeo .