Video: Wachina Waliokamatwa Na Maburungutu Ya Pesa, Takukuru Wabaini Ni Za Utapeli

Kamanda wa TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kinondoni, Christian Nyakizee, ametoa ufafanuzi kuhusiana na sakata la mabilioni ya fedha linalowahusisha raia wawili wa China wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha katika Mahakama ya Kisutu. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Christian Nyakizee amesema Wachina hao wamekuwa wakitafutwa […] The post Video: Wachina Waliokamatwa Na Maburungutu Ya Pesa, Takukuru Wabaini Ni Za Utapeli appeared first on Global Publishers .