Saba kortini wakidaiwa kusafirisha dawa za kulevya
Mkazi wa Sinza Kijiweni, jijini Dar es Salaam, Cuthbert Kalokola (34) na wenzake sita wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa mashtaka saba ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Methamphetamine, Flunitrazepan na bangi.