Serikali yahaidi kutatua changamoto ya vifaatiba katika Hospitali ya Mji Mafinga
Dk Seif amebainisha kuwa kutokana na unyeti na mahitaji ya kipekee ya huduma katika hospitali hiyo, Serikali itahakikisha changamoto zote zinatatuliwa ili wananchi wapate huduma bora za afya karibu na maeneo yao.