Raia wawili wa China, Weisi Wang (41) na Yao Licong, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ikiwemo kosa la utakatishaji fedha zenye thamani ya takribani Shilingi Bilioni Mbili na Milioni Kumi na Tatu za Kitanzania. Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka yao na Mawakili wa Serikali Wakuu, Patrick Mwita na […] The post Raia Wawili wa China Wakabiliwa na Kesi ya Uhujumu Uchumi – Video appeared first on Global Publishers .